• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

Kilimo

Shughuli za kililmo hufanywa katika kata zote za halmashauri. Shughuli za kilimo huzalisha mazao ya chakula na biashara kama mtama, uwele, mpunga na maharage. 

Mazao makuu ya biashara ni tumbaku, uwele, alizeti na karanga.


Skimu ya Umwagiliaji ya Kintinku

  • Katika kipindi cha Miaka ya 1960 vyama visivyozidi vitano (5) vilihusika na ukusanyaji wa mazao wa wakulima ya karanga na mahindi.
  • Hivi sasa wananchi wameweza kuanzisha vyama vya ushirka –Vyama vya kilimo 19 Akiba na mikopo 22. 
  • Fursa za kuimarisha kipato cha mkulima kimepanuka.
  • Mfumo wa uzalishaji wa mazao unamuwezesha mkulima kumpatia pembejeo .
  • (Soko la mazao ya Alizeti, Mpunga Asali, Choroko, Ufuta n.k. umeboreka wanunuzi wa   mazao wanapatikana kwa urahisi na kwa wakati.
  • Uwezo wa vyama vya ushirika vya Akiba na mikopo SACCOS umeongezeka  zaidi.
  • SACCOS zinauwezo wa kutoa mikopo ya wanachama wake ya fedha taslimu.
  • Pia mikopo ya aina nyingine inatolewa hasa ya uzalishaji kwa kuwapatia matrekta power Tiller Mikokoteni na Wanyama kazi  na Power Tiller kwa mwaka 2010/2016. Matrekta yaliweza kupatikana kupitia Saccos.
  • Matumizi ya zana bora za kilimo, hadi sasa Wilaya ina Power tiller 40, trekta 44, Plau 4178,  mikokoteni 938 na  Wanyama kazi 9975.
  • Huduma za ugani zimesogezwa karibu na Wananchi kupitia Halmashauri ya Wilaya. Hadi sasa kuna jumla ya wataalam 46 katika ngazi ya Wilaya, Kata na Vijiji. Aidha katika kukabiliana na uhaba wa wataalam, mbinu shirikishi za kutoa mafunzo zinatumika ikiwemo mashamba darasa. Hadi  sasa wakulima 3,609 wamepatiwa mafunzo kupitia mashamba darasa 144
  • Kilimo cha umwagiliaji kimeanzishwa. Hadi sasa Wilaya ina skimu 7 za umwagiliaji zenye jumla ya hekta 1,060.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.