Rc Mahenge akielekza jambo kwa mratibu wa zoezi la anwani za makazi na postikodi wakati wa ukaguzi wa zoezi hilo.
">
Rc Mahenge akizungumza na kamati inayotekeleza zoezi la anwani za makazi na postikodi wakati akikagua nguzo zilizoandaliwa kuwekwa kwenye Barabara za mitaa ">
Posted on: May 11th, 2022
Watumishi wa umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni wametakiwa kuacha kabisa kujiingiza katika mambo ya siasa na badala yake wajikite katika kutekeleza majukumu yao kwa ufasaha na kwa ...