- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Wednesday 22nd, January 2025
@VIWANJA VYA JUMBE
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Doroth Mwaluko leo amefungua rasim bonaza la michezo kuelekea maadhimisho ya siku ya miaka 60 ya uhuru Tanzania bara yanayotarajiwa kufanyika kimkoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni
Akihutubia washiriki mbalimbali wa bonanza hilo ambao walikusanyika kutoka katika Wilaya na Halmashauri mbalimbali zilizopo ndani na nje ya Mkoa wa singida Mwaluko ambaye ndiye Mwenyekiti wa bonanza hilo la michezo amewashukuru watumishi hao kwa kuweza kushiriki katika bonza hilo
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.