- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kuanzia sasa Mwanachama wa PSSSf hauhitajiki (sio lazima) kufika ofisi za PSSSf kwa ajili ya kufuatilia taarfa za michango yako. Unachotakiya ni kufanya yafutayo kwa kutumia simu janja (smart phone) yako;
1. Nenda playstore
2. Download app inaitwa PSSSF KIGANJANI
3. Install Hiyo app kwenye simu janja yako
4. Fungua app (Launch)
5. Kwenye Username ingiza cheki namba yako au namba ya NIDA , kwenye passoword jaza namba yako ya simu
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.