- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kwa kipindi kirefu haikuwa na zao la kudumu la biashara wananchi waliuza mazao ya chakula ili kupata kipato. Hivyo zao la korosho llimewekewa mkakati madhubuti wa kuliendeleza zao hili kwani litakuwa mkombozi wa wakulima kwa kipato na usalama wa chakula.
Watekelezaji wakuu wa mradi ni wakulima, Halmashauri ya Wilaya, Bodi ya Korosho na Watafiti wa Kanda ya Kati na Naliendele Mtwara. Eneo lililotengwa kwa ajili ya kilimo hiki ni ekari 12,000 katika vitongoji viwili vya Masigati na Kinangali. Aidha, upandaji katika shamba hili ulianza Msimu wa kilimo 2017/2018 na kuendelea katika msimu huu 2018/2019 na jumla ya ekari 5,762 zitakamilika kupandwa hadi kumalizika kwa msimu huu
FAIDA ZA MRADI
Chanzo kikuu cha malighafi za viwanda vya kusindika korosho
Kuwepo kwa mradi kutaongeza idadi ya wakulima wanaoshiriki katika uzalishaji wa zao la korosho
WANUFAIKA WA MRADI
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.