• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

Msimu wa Korosho 2019/2020

SHAMBA LA KOROSHO MSIMU WA 2019/2020

Halmashauri ya wilaya ya Manyoni kama zilivyo halmashauri nyingine nchini inaendelea kulipa kipaumbele zao la korosho kwa kuzingatia ardhi iliyopo na namna zao la korosho linavyokubali katika ardhi iliyotengwa. Kwa kuzingatia hilo halmashauri ya Manyoni kwa msimu wa 2019/2020 imetenga ekari 5000 kwa ajili ya kilimo cha zao la korosho katika kata ya Mkwese, kilometa 7 kutoka makao makuu ya Halmashauri ya Manyoni. Shamba hili litaungana na shamba la Masigati na hivyo kuwa na shamba la pamoja kuanzia Masigati hadi Mkwese.


UTARATIBU WA KUOMBA NA KUSAFISHA

  • Kila mkulima atalazimika kujaza fomu ya maombi kabla ya kufanya malipo.  
  • Maombi kwa kila ekari ni Tsh 20,000/= tu
  • Muda wa maombi ni kuanzia tarehe 11/5/2019 hadi 30/5/2019
  • Usafishaji utaanza tarehe 1/6/2019 hadi tarehe 30/9/2019
  • Gharama za kusafisha shamba kwa ekari ni Tsh 150,000/- tu.
  • Fedha zote za maombi zitawekwa kupitia benki ya NMB kwenye akaunti yenye jina MRADI WA KOROSHO MANYONI akaunt namba 50710011042
  • Mkulima ataruhusiwa kumiliki ekari kuanzia 5 hadi 20 na kwa Taasisi, Mashirika au makampuni yanaruhusiwa kumiliki ekari 5 hadi 50.
  • Mkulima ataoneshwa shamba baada ya kukamilisha fedha zote za kusafishiakadri alivyoomba.
  • Tarehe 25 – 30/11/2019 ndiyo itakuwa tarehe za kuoneshwa mashamba kwa wale ambao watakuwa wamekidhivigezo vya kusafisha.
  • Miche itakayopandwa ni ile iliyothibitishwa na wataalamu na si vinginevyo
  • Mkulima ambaye atashindwa kusafisha eneo lake hadi tarehe 30/9/2019 atanyang’anywa na kupewa mtu mwingine na hatarudishiwa fedha ya maombi aliyotoa.

HIVYO TUNATOA WITO KWA WOTE WANAOOMBA WAWE TAYARI KWA MSIMU HUU WA 2019/2020


Halmashauri ya Manyoni inawakaribisha watu wote wanaopenda kulima Korosho kwani serikali ipo pamoja nanyi kwa kila hatua hadi mwisho. Wakulima tuwatoe hofu kwani zao hili limefanyiwa utafiti na matunda yake yataonekana.


BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA MAOMBI

 

KAMATI TENDAJI YA SHAMBA LA KOROSHO – MANYONI


JINA

CHEO

NAMBA YA SIMU

1
 PAUL R. LENJIMA

MSIMAMIZI

0754 881 621

2
 FADHILI CHIMSALA

KATIBU

0768 865 773

3
 WINIFRIDA MIHAMBO

MJUMBE

0745 742 763

4
 EMANUEL M. MDEMWA

MJUMBE

0757 620 245

5
 ADERALD M. REIKIZA

MJUMBE

0754 512 335

6
 EMANUEL C. MLOWE

MJUMBE

0757 388 614

7
 STARICKO N. MESHACK

MJUMBE

0766 423 621

8
 EMILITA C. KYENGA

MJUMBE

0752 653 817

9
 EDWARD P. KILUMBU

MJUMBE

0756 224 407

10
 PETER C. MWITA

MJUMBE

0756 275 778

11
 KENNAN KIDANKA

MJUMBE

0757 118 221

12
 IPYANA I. ABDUL

MJUMBE

0625 677 881

13
 AZIZ MSIGWA

MJUMBE

0714 422 018




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.