• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

BASI LA KAMPUNI YA ALLY'S STAR LAGONGA KICHWA CHA TRENI NA KUUA ABIRIA 13 WILAYANI MANYONI SINGIDA

Imewekwa Mtandaoni mnamo: November 29th, 2023



Watu 13 wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Ally’s Star kugonga kichwa cha Treni katika makutano ya barabara kuu ya Manyoni - Singida, kwenye eneo la Manyoni mjini, mkoani Singida, leo Jumatano Novemba 29, 2023.

Baada ya ajali hiyo Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba, akiongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa alifika kwenye eneo la tukio ambako alishuhudia na kupata nafasi ya kuzungumzia tukio hilo.


Akiwa kwenye eneo la tukio Serukamba, alieleza kusikitishwa na ajali hiyo alipofika kwa ajili ya kuwatembelea na kuwapa pole majeruhi waliolazwa hospitali ya Wilaya ya Manyoni na waliopata rufaa kwenda hospiatli ya St. Gaspar Itigi.

Hata hivyo Serukamba, alitoa kwa watumiaji wa vyombo vya moto hususani madereva wa mabasi kuzingatia sheria alama na taratibu za barabarani hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.


Aidha Serukamba alitumia fursa hiyo kuwashukuru Wauguzi na Madaktari wa hospitali ya Wilaya ya Manyoni na Itigi, kwa kujitoa kwa kila hali katika kuwahudumia majeruhi walionusurika kwenye ajali hiyo.

Akizungumzia ajali hiyo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, alisema tukio hilo limetokea majira ya saa 10 alfajiri, wakati basi hilo lenye namba za usajili T 178 DVB likijaribu kukatiza njia ya reli eneo la Manyoni mjini kisha kugongana na kichwa cha Treni.

Alisema kuwa basi hilo likiwa katikati ya njia ya reli ghafla liligongwa na kichwa cha Treni kilichokuwa kikirudi Manyoni mjini kutokea kituo cha Aghondi na hivyo kusababisha vifo na majeruhi waliokuwemo kwenye basi la Ally’

Kamanda Mutabihirwa amesema kuwa basi hilo lilikuwa na jumla ya abiria 57 na waliopoteza maisha ni abiria 13 (wanawake 6, wanaume 7) huku majeruhi wakiwa 32 na wengine waliobakia walinusurika na kuendelea na safari.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.