• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

CRDB MANYONI YAKABIDHI MADAWATI 50 SHULE YA MSINGI MAJENGO

Imewekwa Mtandaoni mnamo: January 19th, 2024



Mkurungenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Ndg. Jimson Mhagama tarehe 17 Januari 2024 Amepokea madawati 50 kutoka Benki ya CRDB yatakayotumika Shule ya Msingi Majengo.

Akiongea wakati wa makabidhiano ya madawa hayo Ndg. Jimson Mhagama Alisema kuwa Halmashauri imepokea madawati hayo kutoka kwa wadau wa maendeleo ambao ni benki ya Crdb.

"Nashukuru sana Crdb kwa madawati haya naomba tuendelee kushirikiana pamoja na kutuunga mkono kuhakikisha jamii  inapata huduma mbalimbali kama hizi,

Mwaka uliopita Serikali ilileta fedha hapa kwa ajili ya vyoo vya shule, Serikali bado itaendelea kuleta fedha kwa ajili ya maendelea kwenye sekta ya elimu katika Halmashauri yetu ya Manyoni hivyo nanyi wadau wetu endeleeni kuunga mkono juhudi za Serikali". Alisema  Jimson Mhagama

Nae  Meneja  wa Benki ya Crdb Tawi la Manyoni Bi. Hollo Gelleja, amesema tunatambua kwamba Mama yetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa sana  kuhakikisha wananchi wanapata huduma katika sekta  mbalimbali kama elimu,afya na sekta zingine na Sisi Crdb tunasema Mama hawezi kutembea peke yake lazima sisi benki ya Crdb itembee na Mama, itembee na  Taifa, itembee na mwananchi, itembee na wanafunzi ndio maana tumekuja na Keti Jifunze ambayo inamsaidia mwanafunzi mwenye ndoto kutimiza ndoto zake.

Keti jifunze  tumeleta madawati haya 50  ili wanafunzi waketi wasome vizuri ili kutimiza malengo yao.Tutaendelea kushirikiana katika mambo mbalimbali kwenye jamii ya wana Manyoni ili kusukuma gurudumu la maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.