- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Miradi aliyotembelea ni Mradi wa Umwagiliaji Msemembo, Saranda, Chikuyu na Udimaa.
Pamoja na hilo Mhe Kemirembe amewataka wakulima kuendelea kuongeza juhudi katika kilimo na kutumia mbolea ili kuongeza uzalishaji katika Kilimo." Viongozi hamasisheni wakulima kutumia mbolea ili kuongeza uzalishaji kwenye maeneo yetu"


HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.