- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Haya yamesemwa leo tarehe 7 machi 2024 na Mwalimu Doroth Mwaluko kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani Tarehe 8 Machi Alipoongoza Mdaharo na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kilimatinde, Solya na St. John katika ukumbi wa shule ya Sekondari St. John.
“Haki uenda na wajibu kwa iyo basi niwaombe wote kuhakikisha mnatimiza wajibu wenu kabla hamjaomba haki zenu kwani unapotimiza wajibu wako nirahisi kupata haki yako”
Mdahalo huo ulianza kwa kuwaeleza Wanafunzi chanzo cha maadhimisho haya Duniani
“ Harakati za Maadhimisho haya ya siku ya wanawake duniani yalianza mwaka 1908 yalianzishwa na Mwanamke Clara Zetkin aliependekeza kuanzishwa kwa siku ya mwanamke kila mwaka na lengo kuu ni kutetea haki za Mwanamke Duniani.
Maada mbalimbali zimezungumziwa katika Kongamano hilo lililo jumuisha wanafunzi Wakike na Wakiume kutoka Shule ya Sekondari Kilimatinde, St John na Sekondari ya Wasichana Solya ni kujitambua, kulitambua Taifa lao ikiwemo Viongozi wanaowaongoza katika Maeneo yao
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.