- Mwanzo
 - Kuhusu Sisi
 - Utawala
 - Fursa za Uwekezaji
 - Huduma Zetu
 - Madiwani
 - Miradi
 - Machapisho
 - Kituo cha Habari
 
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Kemirembe Lwota amezindua Kampeni ya Chanjo ya Surua na Rubella Tarehe 15 Febuari 2024.

Kampeni hii ni ya Siku 4 kuanzia Tarehe 15-18 FEBUARI 2024 na walengwa ni watoto kuanzia umri wa mieazi 9 hadi miezi 59

KAULI MBIU: MPENDE MWANAO MPELEKE AKAPATE CHANJO
	

HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.