- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Katibu Tawala Mchembe Aandaa Chakula cha Jioni na Madereva Manyoni
Katika kuendeleza ushirikiano na mshikamano kwa jamii, Mwalimu James Mchembe, Katibu Tawala wa Wilaya ya Manyoni, aliwaalika *madereva mbalimbali wa wilaya hiyo kushiriki chakula cha jioni maalum.
Tukio hilo limefanyika kama sehemu ya utaratibu wake wa kuwa karibu na makundi mbalimbali ya wananchi, akisisitiza umuhimu wa *ushirikiano kati ya serikali na wananchi* katika kuimarisha maendeleo na utulivu Manyoni.
Mchembe alieleza kuwa, milo kama hiyo si tu chakula, bali ni jukwaa la majadiliano, kusikilizana na kujenga maelewano ya kudumu. Madereva walipongeza hatua hiyo wakisema imewapa nafasi ya kujiona sehemu ya mchakato wa maendeleo ya Wilaya.
@singidars @anastaziatutuba @drmashinjivincent @halimadendego
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.