- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Wajumbe wa Timu ya Uongozi na Utawala Ya Halmashauri (CMT) ilikutana na kukaa kujadili taarifa ya mapendekezo ya mpango na bajeti ya miradi ya maendeleeo kwa mwaka wa fedha 2018/2019 itakayowasilishwa kwenye kikao kijacho cha Baraza la Madiwani mnamo tarehe 16/02/2018 . Kikao hicho kiliongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Bi. Flora Hindi.
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.