• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

“KITITA CHA ZAIDI YA MIL 900 KUBORESHA MIUNDOMBINU MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA MANYONI"

Imewekwa Mtandaoni mnamo: April 4th, 2023

Jumla ya vyumba vya madarasa 16 na matudu ya vyoo 18 vinatarajiwa kujengwa katika maeneo mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya manyoni ili kupunguza upungufu na msongamano wa wanafunzi kupitia mradi mpya wa Boost utakaogarimu  Kiasi cha shilingi 909,600,000/=


 Akizungumza wakati akifungua kikao cha Kutambulisha mradi huu kwa wajumbe kutoka shule ambazo zimepata bahati ya kutekeleza mradi huu wa Boost Leo tarehe 04 aprili 2023 Afisa Maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Ndg Moleli kwa niaba ya Mkurugenzi amesema,

“Tunaishukuru sana serikali ya awamu ya sita chini ya Raisi wake Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kushirikiana na Benki ya Dunia  kutuletea mradi huu wa Boost ambao unakwenda kumaliza changamoto ya miundombinu katika sekta ya Elimu kwa kukarabati na kujenga miundombinu ya shule kwa elimu yaa awali na msingi”.


Niwaombe sana wajumbe kila mmoja kwa nafasi yake akatimize majukumu yake na kuhakikisha mradi huu wa Boost unakamilika kwa wakati na unakuwa na ubora unaostahili, Na mradi huu sasa tutakwendas kulipwa kulingana na matokeo yani kama tutamaliza kwa wakati na madarasa yakawa na viwango vinavyohitajika tutakua na firsa ya kuongezewa fedha zingine kwaajili ya kukarabati na kujenga miundombinu mingine kwa shule ambazo bado zina uhitasji lakini kama hatutamaliza kwa waskati maana yake tutaziba fursa ya kuendelea kupata fedha za mradi huu wa Boost. Alisisitiza Ndg Moleli.


Shule ambazo zinakwenda kutekeleza miradi huu kwa awamu ya kwanza ni Shule ya Msingi Chikuyu ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa vya mfano Elimu ya awali Tsh 63,600,000/= , Shule ya msingi Chisingisa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na matundu 3 ya vyoo vya wanafunzi Tsh 51,100,000/= , Heka ujenzi wa Shule ya msingi mpya Tsh 493,400,000/= ,Shule ya msingi Igwamadete ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na Matundu 3 ya vyoo vya wanafunzi Tsh 74,100,000/= , Ipanduka shule ya msingi ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na matundu 3 ya vyoo vya wanafunzi Tsh 51,100,000/=, Ipululu shule ya msingi ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na Matundu 3 ya vyoo vya wanafunzi Tsh 74,100,000/=, Masigati shule ya msingi ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na matundu 3 ya vyoo vya wanafunzi Tsh 51,100,000/= na Mitoo shule ya msingi ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na matundu 3 ya vyoo vya wanafunzi Tsh 51,100,000/= JUMLA KUU Tsh 909,600,000/=

Naye Afisa Manunuzi Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Ndg Charles Mpenzu amesisitiza na kuwaasa wajumbe kuhakikisha wanafata sheria na kanuni za Manunuzi ili kuepusha hoja zinazoweza kujitokeza kwa kutokuzingatia sheria za manunuzi lakini pia amewata wajumbe kuhakikisha matangazo  ya zabuni yanatoka na kusambaa sehemu nyingi ili kupata wazabuni wengi na kufanya uchaguzi ulio sahihi kulingana na vigezo vya zabuni.

                                                                                                                               

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.