• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

KONGAMANO LA KUJADILI NA KUTOA MAONI YA DIRA YA TAIFA YA MWAKA 2050 HALMASHAURI YA MANYONI

Imewekwa Mtandaoni mnamo: July 30th, 2024



Bi. Leila Sawe kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ameongoza kikao cha kujadili na kutoa Maoni ya Dira ya Taifa 2050 kilichofanyika tar 29 Julai 2024 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.

 Akizungumza wakati akifungua kikao hicho Bi. Leila Sawe amesema

" Ni matarajio yangu kuwa tutashiriki vema katika kutoa maoni mazuri kwaajili ya Taifa letu kwa miaka 25 ijayo, Kila mmoja kwa nafasi yake achangie maoni yake"


Kwasasa Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta mbalimbali ikilinganishwa na miaka ya nyuma na hii ni kwasababu miaka 25 iliyopita wapo waliokaa wakaweka mipango ya miaka 25 ambayo inaisha mwakani 2025.Alisema Bi. Leila


Kwa upande wake Bi. Anastazia Tutuba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni amesema Mafanikio katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2025 Nchi yetu imefikia Uchumi wa Kati hivyo tumepiga hatua kubwa sana

" Serikali imechukua hatua madhubuti ya kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo ya  Afya, barabara, kuimarisha biashara, usafiri wa maji, usafiri wa anga, Upatikanaji wa Nishati, Elimu na mengine mengi" Alisema.


Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni Kielelezo ambacho Taifa linaongozwa nacho kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na  Maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo na yakubalike na Taifa husika.

Lengo ni kuchochea kasi ya ukuaji wa Uchumi, kuongeza matumizi ya teknolojia na kuongeza Uzalishaji.


Bi Anastazia Tutuba amesema

"Zoezi hili la Kutoa Maoni ya Dira ya Taifa 2050 limekua ni zoezi shirikishi kwa nchi nzima hivyo washiriki wa Manyoni nao wamepata nafasi hii adhimu ya kuwa sehemu ya kutoa maoni yatakayojumuishwa kwenye uandaaji wa Dira ya 2050 hii ni bahati isiyojirudia kwa wengi hivyo imani yetu ni kuhakikisha uwakilishi wao unakua na maono ya wengi kwa kuiona Tanzania ya miaka 25 ijayo"


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.