- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Bi. Anastazia Tutuba Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni ametembelea Maeneo ya Uchimbaji wa Madini yaliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni (Londoni) Kata ya Makuru kujionea namna vijana wanavyotafuta kipato Chao kwaajili ya kujikimu kimaisha lakini pia kujifunza mambo mbalimbali yanayohusiana na Uchimbaji wa Madini ikiwemo Ulipaji wa Kodi za Serikali pamoja Ushuru kwa Maendeleo ya Taifa letu.
Vile vile Bi. Anastazia Tutuba amedhamiria kutangaza Utajiri unaopatikana katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni ikiwemo Uwepo wa Madini ya Dhahabu katika Maeneo ya Londoni lakini pia katika Mapori ya Akiba ya Kizigo, Muhesi, na Rungwa Ili Wananchi wafahamu kuwa Tanzania tunamiliki Utajiri mkubwa katika Maeneo haya.
@wizara_ya_madini_tanzania
@msemajimkuuwaserikali
@gersonmsigwa
@ortamisemi
@anthonymavunde
@singidars
@halimadendego
@drmashinjivincent
@anastaziatutuba
@manyonidc
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.