- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kupitia Divisheni ya kilimo na Mifugo wanaendelea na maandalizi ya miche ya korosho kwaajili ya msimu mpya wa kilimo cha zao la korosho. Kwa yeyote anaehitaji miche hii awasiliane na ofisi ya kilimo Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni. WOTE MNAKARIBISHWA.
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.