- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mhe. Kemirembe Lwota Mkuu wa Wilaya ya Serengeti amemkabidhi Ofisi Mhe. Dkt Vincent Mashinji Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Leo tar 30 Julai 2024
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Mhe. Kemirembe Lwota amesema Niwashukuru sana wote kwa ushirikiano wenu mlionionyesha kwa kipindi chote nikiwa hapa kama Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, niwaombe sana ushirikiano huo huo muuonyeshe kwa Kaka yangu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni kwa sasa.
Karibuni sana Serengeti.
Naye Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema
"Maisha yetu ni kama stori ikishaandikwa haiwezi futika, hivyo mliyofanya nyuma tayari yameshaandikwa na hatuwezi futa hivyo Mimi napenda tuanze kuandika upya na tuandike stori nzuri"
"Ni Imani yangu kuwa tutashirikiana wote kwa pamoja Ili kuleta Maendeleo ya wana Manyoni na Taifa kwa Ujumla". Alisema Dkt. Mashinji
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.