- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Akizungumza na Wanafunzi wa Tarafa Nkonko wakati wa Ziara hiyo Herimani Nyanda alisema,
Sambamba na hilo Tawa kanda kati kushikirikiana na Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii (E.b.n ) Wamefanya Uzinduzi wa Uhifadhi Cup kwa kukabidhi Mipira pamoja na Makombe Katika Shule zilizopo Tarafa ya Nkonko.
“Tumegawa vifaa hivyo ili kuhamasisha Michezo Mashuleni itakayo anzia ngazi ya Madarasa {inter-classes} baada ya hapo ni Mashindano ya Shule kwa Shule. Kwa kufanya hivyo tunaendelee kujenga afya zetu ili tupate nguvu za kutunza Mazingira yetu.

HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.