• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

"""Tutumie vizuri na Kuzitunza Mashine hizi za Nakala (Photocopy mashine) tulizopewa"

Imewekwa Mtandaoni mnamo: June 10th, 2024



Haya yamesemwa na Mhe. Jumanne Mlagaza Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Leo tarehe 10 Juni 2024 kwenye Hafla fupi ya kupokea  Mashine hizi za Nakala zilizotolewa na Mdau wa Maendeleo Bw. Joseph Nyalandu.


"" Mdau wetu ameguswa na kutuletea mashine hizi za Nakala Ili zikasaidie katika Maeneo mbalimbali hasa shule zetu za Sekondari na Msingi hivyo niwaombe sana kuhakikisha tunazitumia vizuri na Kuzitunza ili tuendelee kunufaika nazo"


Pia Tuendelee kuwakaribisha wadau mbalimbali wa Maendeleo wanaoguswa kuchangia shughuli za Maendeleo katika Halmashauri yetu kwani Serikali yetu inafanya mambo makubwa sana na tunafrahi kuona wadau wanaunga mkono juhudi za Serikali chini ya Uongozi wa Mama yetu Dkt Samia Suluhu Hassan. Alisisitiza Mhe Mlagaza


Nae Afsa Utumishi kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni alimshukuru sana Mdau wa Maendeleo kwa kuguswa kwa namna yake kutupatia Mashine hizi za Nakala

" Mungu akubariki sana Mdau wetu kwani kwa upande wangu naamini ni Mungu amekugusa

kwani ni kweli tulikua na uhaba wa mashine hizi hivyo tunashukuru sana na Mungu akuongezee ulipopunguza"


Kwa Upande wake Mdau huyu wa Maendeleo Bw. Joseph Nyalandu alisema


"Mimi sina mengi ya kusema zaidi ya kuwashukuru wenyeji wangu kwa kunipokea kwa hiki nilichojaliwa na Mungu, Niliguswa baada ya kuona shule nyingi wanatumia garama sana katika mitihani kwa kukosa hizi mashine za Nakala hivyo nikaona na Mimi kama mzaliwa wa Manyoni na Mdau wa Maendeleo nichangie kwa hiki Mungu alichonijalia"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.