- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Bw. JIMSON MHAGAMA ametembelea na kukagua Hatua za Ujenzi wa Majengo ya awamu ya pili katika mradi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana (SOLYA). Mradi huu utagarimu kiasi cha Tshs. Bilioni 1.1
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni amewataka Viongozi wa Kata ya Solya, Kamati zote za Ujenzi kuhakikisha wanasimamia mradi huu wa Ujenzi wa awamu ya pili kwa ufasaha ili mradi huu ukamilike kwa wakati na majengo kuwa na ubora unaostahili.
"Mradi huu ni wetu sote hivyo kila mmoja kwa nafasi yake ahakikishe anatimiza wajibu wake ipasavyo kusimamia mradi ili tukamilishe majengo haya kwa haraka na yakiwa na viwango vinavyohitajika"
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.