- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Miradi iliyopo ni pamoja na Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Amali- Kintinku, Ujenzi wa Shule ya Msingi Umoja- Manyoni, Ukarabati wa Shule ya Msingi Mwembeni- Manyoni, Ujenzi wa Shule ya Msingi National-Manyoni, Ujenzi wa Shule ya Sekondari Matori- Manyoni na Ujenzi wa Bweni Shule ya Sekondari Manyoni.
Akizungumza wakati wa Ukaguzi wa Miradi hiyo Mhe. Jumanne Mlagaza amesema:
" Katika kipindi cha Miaka minne ya Rais wetu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Halmashauri ya Manyoni tumepata miradi mingi sana ya Maendeleo, Tunamshukuru sana kwa Maendeleo haya aliyotuletea wana Manyoni"
Mhe. Mlagaza alisisitiza kwa kusema
"Nasi kuonesha namna tunavomuunga mkono katika kuleta Maendeleo haya tunapaswa Miradi hii tuwe tunaisimamia vyema Ili thamani yake iendane na thamani ya Fedha zilizoletwa, Lakini sambamba na hilo tuhakikishe tunailinda na kuitunza Ili idumu kizazi na kizazi"
@msemajimkuuwaserikali
@gersonmsigwa
@maelezonews
@singidars
@halimadendego
@drmashinjivincent
@anastaziatutuba
@manyonidc
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.