- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo tarehe 30 Juni 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni imezindua CHANJO ya KUKU kwa ugonjwa wa Mdonde, ndui na mafua.
Chanjo hii ni bure na Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni tunategemea kuchanja kuku zaidi ya 270,000
Wafugaji wote mnaombwa kutoa ushirikiano ipasavyo Ili kufanikisha zoezi hili la Chanjo kwa kuku wetu na kuzuia magonjwa haya ya Mdonde, ndui na mafua.
@wizara_ya_kilimo
@singidars
@halimadendego
@drmashinjivincent
@anastaziatutuba
@manyonidc
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.