• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

UZINDUZI WA MBOLEA YA RUZUKU MKOANI SINGIDA

Imewekwa Mtandaoni mnamo: October 6th, 2022

HAKUNA GHARAMA USAJILI WA WAKULIMA MFUMO WA MBOLEA YA RUZUKU

#wakulima watakiwa kujisajili kabla ya msimu wa kilimo kuanza

Imeelezwa kuwa usajili wa wakulima kwa ajili ya kunufaika na mbolea za ruzuku hauna gharama yeyote na yeyoye atakayewatoza kiasi chochote cha pesa wakulima atachumuliwa hatua.

Hayo yameelezwa leo tarehe 5 Oktoba  2022 na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alipokuwa katika hafla ya kuzindua msimu wa kilimo kwa mwaka 2022/2023 uliofanyika katika ukumbi wa kanisa katoliki mkoani Singida.

Waziri Bashe ametoa pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Stephan Ngailo kwa kusimamia na kuhakikisha Mfumo wa kielekitroniki wa mbolea za ruzuku unapatikana.

"Amesema awali jambo la kuwa na mfumo wa kuuza mbolea ya ruzuku lilionekana kuwa ni gumu lakini Dkt. Ngailo amelisimamia na kulifanya kuwa rahisi" waziri Bashe aliongeza.

Akizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa  TFRA, Dkt.  Ngailo ametoa rai kwa wakulima wote nchini kujisajili kwenye ofisi za vijiji na vitongoji wanakofanyia shughuli za kilimo ili waweze kunufaika na mbolea za ruzuku zinazotolewa na Serikali kwa msimu wa kilimo 202w/2023.

Amesema, serikali imetoa ruzuku za mbolea kwa msimu huu wa kilimo ili kunufaika na ruzuku ya mbolea ni lazima mkulima ajisajili na kueleza kuwa sharti kubwa la mkulima kusajiliwa ni kuwa na shamba, vinginevyo hakuna masharti mengine.

Aidha, Dkt. Ngailo amewataka wakulima kutoa taarifa sahihi juu ya ukubwa wa mashamba wanayoyalima ili kusaidia katika kununua mbolea itakayokidhi mahitaji kwani ukubwa wa shamba ndio utaamua ni kiasi gani cha mbolea unapaswa kununua.

Amesema, kwa sasa Serikali inawaandikisha wakulima kwa kuchukua taarifa zao za msingi ili waweze kupata huduma ya mbolea kwa wakati na kubainisha kuwa hapo baadaye wakulima watapigwa picha pamoja na kuchukuliwa alama za vidole ili kupunguza ubadhirifu unaofanywa na watu wasiokuwa waaminifu na hivyo kuwanufaisha wakulima hewa kwa mbolea za ruzuku.

Pia, Dkt. Ngailo alisema baada ya usajili huo wa awali, Serikali imedhamiria  kupita kwa kutumia GPS  katika maeneo waliyojiandikisha wakulima  ili kuhakiki ukubwa wa mashamba yaliyojazwa wakati wa usajili  na hivyo kuwataka wakulima kutoa taarifa sahihi za maeneo wanayolima.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.