- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Siku ya Pili ya Warsha ya Kubadilishana uzoefu kuhusu mikakati ya kuinua Ufaulu wa Somo la Kingereza na Hisabati iliyohudhuriwa na Maafisa Elimu Msingi wa Halmashauri, Maafisa idara ya Elimu Mkoa, Maafisa Elimu Taaluma wa Halmashauri, Wathibiti ubora wa Shule wa Wilaya, Maafisa Elimu Kata, Walimu Wakuu na Walimu wa masomo ya English na Hisabati
Warsha hii inafanyaka katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manyoni tarehe 17-18 Machi 2025
Mafunzo haya ni Sehemu ya Utekelezaji wa Shughuli za Kielimu za Mradi wa Shule Bora zinazofadhiliwa na Serikali ya Uingereza (FCDO) kupitia Serikali ya Tanzania kwa Usimamizi wa Shirika la Cambridge Education.
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.