• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

Waziri Lukuvi apiga marufuku viongozi wa Vijiji na Vitongoji kuuza ardhi

Imewekwa Mtandaoni mnamo: January 11th, 2021

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepiga marufuku viongozi wa vijiji na vitongoji katika maeneo mbalimbali nchini kujihusisha na uuazaji ardhi ikiwemo mashamba kwa kuwa hawana mamlaka ya kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria ya ardhi Vijji ya mwaka 1999.

Akizungumza wakati akikagua shamba la mikorosho la Mkwese-Masigati wilayani Manyoni mkoani Singida akiwa juzi katika ziara ya kikazi ya siku moja mkoani humo alisema, viongozi wa wilaya na halmashauri wanapaswa kukomesha tabia hiyo ya baadhi ya viongozi wa vijiji na vitongoji kuuza ardhi kwa wananchi.

Kwa mujibu wa Lukuvi, ugawaji ardhi kwenye vijiji lazima ufuate sheria iliyowekwa ikiwemo kuitisha mkutano na siyo kiongozi kujiamulia kugawa ardhi kwa niaba ya kijiji kizima.

“Kijiji kugawa ardhi lazima iwe kwenye mutano siyo mtu anagawa, Mkuu wa Wilaya pita kote na elekeza mikutano ya kugawa ardhi isiitishwe kinyemela na wewe ukasimamie kujua wananchi watapata faida gani kwa ardhi itakayotolewa” alisema Lukuvi.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliongeza kuwa, mtu yoyote atakayenunua ardhi kwa mwenyekiti wa Kijiji au kitongoji basi ajue kuwa ni kinyume cha sheria  kwa kuwa ardhi inatakiwa kuamuliwa katika mkutano.

Lukuvi aliipongeza halmashauri ya wilaya ya Manyoni kwa uamuzi wa kugawa mashamba kwa ajili ya kilimo cha korosho na kueleza kuwa uamuzi huo unaifanya Manyoni kusonga mbele na kushauri kupewa muda ili kuona matokeo.

Aliitaka halmashauri ya Manyoni katika mkoa wa Singida kuhakikisha eneo hilo la shamba la Mikorosho linapangwa kimji kwa kubuni mpango wa maendeleo na kufurahishwa  na uamuzi wa halmashauri hiyo kuwa na mpango wa kumilikisha ekari 22,000 na kusisitiza kuwa, wote  watakaomilikishwa lazima wapatiwe hati za ardhi.


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akitoka katika ghala la kuhifadhia korosho katika shamba la Korosho Mkwese- Masigati wilayani Manyoni mkoa wa Singida akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja katika mkoa huo tarehe 11 Januari 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manyoni Charles Fussi.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akipata maelezo kuhusiana na shamba la Mikorosho la Mkwese-Masigati wilayani Manyoni mkoa wa Singida akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja tarehe 11 Januari 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Manyoni Rahabu Jackson.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.