- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kamati ya Fedha Ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mhe. Haruna Chimanga imetembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo
.Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa ni pamoja na Ujenzi wa Hosteli ya Wasichana shule ya sekondari Kintinku, Upanuzi wa Kidato cha V na VI Mwanzi Sekondari, Ujenzi wa Vyumba 09 vya Madarsa shule ya Msingi Manyoni, Ujenzi wa Vyumba 02 vya madarasa vya awali vya mfano shule ya Msingi Chikuyu, Kikundi cha Upendo kilichopo Chikuyu, Ujenzi wa Matundu 09 ya vyoo shule Shikizi ya Waraka.
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.