Imewekwa Mtandaoni mnamo: December 19th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh. Rahabu Mwagisa Solomon amezindua kampeni ya Upandaji miti katika halmashauri ya Wilaya ya Manyoni leo Tar 19.12.2018, zoezi ambalo limefanyika katika eneo la Stand kuu ya...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: December 14th, 2018
Zaidi ya wanafunzi 2300 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza kwa mwaka 2019 katika wilaya ya Manyoni, ambapo Wasichana ni zaidi ya 1290 na wavulana ni zaidi ya 1020. Orodha ya wanafunzi walioch...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: December 1st, 2018
1. UTANGULIZI
Siku ya UKIMWI huadhimishwa kimataifa na kitaifa kila mwaka tarehe mosi Disemba, Pendekezo la kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani lilitolewa mnamo mwaka 1988, ikiwa na lengo la kutafak...