Imewekwa Mtandaoni mnamo: March 15th, 2023
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wialaya ya Manyoni Ndg. Heri A. Kaombwe Amepokea wageni kutoka Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi (SGR) Makutopora-Tabora na Kufanya nao kikao leo tarehe 15 mach...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: March 14th, 2023
Kikao cha kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango kimefanyika leo tarehe 14 Machi 2023 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.
...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: March 12th, 2023
Afisa Tarafa ya Kintinku Ndg. Charles E. Magesa amemuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Kemirembe Lwota katika Hafla fupi ya kuwapa Motisha Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari zilizopo katika...