Imewekwa Mtandaoni mnamo: December 22nd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Rahabu mwagisa amewatakia wananchi wote Heri ya krismasi na mwaka mpya wa 2023 wenye baraka na mafanikio tele. Pia amewataka wananchi kusherehekea sikukuu hizi kwa Amani...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: December 22nd, 2022
Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mhe. Jumanne Mlagaza amewatakia Wananchi wote wa Manyoni na Watu wote duniani Heri ya Krismasi na Mwaka mpya wa 2023...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: December 22nd, 2022
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni amewatakia watumishi na Wananchi wote wa halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Heri ya Krismasi na Mwaka mpya wa 2023 wenye Mafanikio tele....