Imewekwa Mtandaoni mnamo: March 14th, 2023
Kikao cha kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango kimefanyika leo tarehe 14 Machi 2023 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.
...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: March 12th, 2023
Afisa Tarafa ya Kintinku Ndg. Charles E. Magesa amemuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Kemirembe Lwota katika Hafla fupi ya kuwapa Motisha Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari zilizopo katika...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: March 8th, 2023
Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Kemirembe Lwota Mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani tarehe 08 machi 2023 Kiwilaya yaliyofanyika katika Kata ya Nkonko...