- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Wilaya ya Manyoni ilianzishwa mwaka 1958, ikiwa Wilaya ya kwanza Tanzania kuwa na Mkuu wa Wilaya Mwafrika Mhe. Marehemu Dastan Omary aliyetawala hadi 1960. Toka mwaka 1958 wilaya ya Manyoni imepata kuongozwa na wakuu wa Wilaya 19 mpaka sasa, ambapo kwa sasa Wilaya hii inaongozwa na MHE. KEMIREMBE ROSE LWOTA
S/N
|
JINA LA MKUU WA WILAYA
|
TOKA MWAKA
|
HADI MWAKA
|
2
|
MHE. N. MWAKANGATA
|
1960
|
1961
|
3
|
MHE. SAMWELI MSINDAI
|
1962
|
1963
|
4
|
MHE. DORA OTHMAN
|
1964
|
1964
|
5
|
MHE. AGOSTINO MADAHA
|
1964
|
1972
|
6
|
MHE. GRACE CHIBANIKA
|
1972
|
1975
|
7
|
MHE. ZEPHANIA MWANJA
|
1976
|
1980
|
8
|
MHE. MHAGAMA J.B. R
|
1981
|
1983
|
9
|
MHE. E. NYAGAWA
|
1983
|
1989
|
10
|
MHE. J. MAPEMBE
|
1989
|
1993
|
11
|
MHE.DR.I. LANGIBOLI
|
1993
|
1995
|
12
|
MHE. TIMOTH Z. KINGU
|
1995
|
1999
|
13
|
MHE.ERNEST D. MASIMA
|
1999
|
2006
|
14
|
MHE. PASCHAL K. MABITI
|
2006
|
2009
|
15.
|
MHE. ALLY N. RUFUNGA
|
2009
|
|
16.
|
MHE. FATMA H. TAUFIQ
|
|
|
17.
|
MHE. GEOFFREY I. MWAMBE
|
|
|
18.
|
MHE. RAHABU MWAGISA
|
2018
|
2023 |
19 MHE.KEMILEMBE ROSE LWOTA 2023 HADI SASA
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.