- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kamati ya Ukaguzi Manyoni Yasisitiza Uandaaji wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa
Manyoni, Agosti 2025 – Kamati ya Ukaguzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni imepitia hesabu za mwaka wa fedha 2024/2025 na kusisitiza kuwa uandaaji wa hesabu unapaswa kuzingatia viwango vya kimataifa vya uhasibu (IPSAS).
Kamati hiyo imeeleza kuwa kufuata IPSAS kutaimarisha uwazi, uwajibikaji na kuleta ufanisi katika matumizi ya fedha za umma, sambamba na kuijengea Halmashauri taswira chanya kiutendaji.
@singidars @maelezonews ews @drmashinjivincent @anastaziatutuba
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.