• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

"KOMESHENI RUSHWA YA NGONO MAOFISINI"

Imewekwa Mtandaoni mnamo: May 1st, 2023

Serukamba aagiza TAKUKURU kushirikiana na Vyama vya Wafanyakazi kukomesha rushwa ya ngono.Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba leo ameiagiza Taasisi ya kudhibiti na kupambana na rushwa ((TAKUKURU) Mkoani hapo kushirikiana na vyama vya wafanyakazi kutokomeza rushwa katika maeneo ya kazi ikiwemo rushwa ya ngono ambayo imeonekana kushamiri sehemu nyingi.

Maagizo hayo ameyatoa leo wakati wa sherehe za wafanyakazi Mei mosi iliyofanyka ki Mkoa katika uwanja wa Liti uliopo Manispaa ya Singida ambapo alieleza changamoto ya rushwa inavyoweza kurudisha maendeleo nyuma ya Mkoa huo.


Aidha Serukamba ametoa muda wa kipindi cha miezi mitatu Taasisi hiyo imletee taarifa ambavyo wametengeneza mikakati ya kupambana na aina hizo za rushwa." Kumekuwepo na tatizo la rushwa ya ngono katika maeneo yetu ya kazi naelekea  TAKUKURU kwa kushirikiana na Vyama vya wafanyakazi kukomesha swala hilo na natoa muda wa miezi mitatu nipate taarifa namna ambavyo umeweza kulidhibiti" alisema Serukamba.


Kwa upande wake Mratibu  wa TUCTA Mkoa wa Singida, Maria John Bange ameiomba Serikali  kuhakikisha watumishi wanalipwa stahiki zao za kisheria  na mafao ya kustaafu kwa wakati, jambo ambalo mgeni rasmi RC Serukamba alilitolea maelekezo kwa Wakurugenzi kuhakikisha wanalipa stahiki hizo huku akitoa maelekezo kwa Shirika la Bima na NSSF kuhakisha wanawalipa mafao kwa wakati.Hata hivyo  Mratibu huyo  ameomba Serikali kuhakikisha mabaraza ya wafanyakazi yanafanyika kwa wakati na uwepo wa staha katika sehemu za kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAAJILI YA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 15, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • FOMU YA MAOMBI YA MASHAMBA YA KOROSHO MWAKA 2022/2023 July 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KARIBUNI MJIPATIE VIWANJA KWA BEI NAFUU

    May 05, 2025
  • "KIKAO CHA PHC CHAFANYIKA"

    April 26, 2025
  • "Jimbo la Manyoni Mashariki kubadilishwa Jina"

    April 26, 2025
  • "UJUZI UTABADILISHA MAISHA YA WATANZANIA"

    March 23, 2025
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI

    Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 26 2540136

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.