- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mafunzo ya KUUNGANISHA Mfumo wa GOTHOMIS na GePG katika Vituo vya Kutolea Huduma za Afya yaliyofanyika Leo tar 25 Juni 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni
Dkt. Bwire J. R Mganga Mkuu Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni amesema Mafunzo haya ni kwaajili ya Kuwawezesha Vituo vyote vya Kutolea Huduma za Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kutumia Mifumo hii na Lengo la hatua hii ni kuboresha ukusanyaji wa Mapato katika Vituo vya Kutolea Huduma za Afya kwa kuwezesha malipo kufanyika kwa kutumia namba ya kumbukumbu ya Malipo (Control number)
Julai 1 2025 Vituo vyote vya Kutolea Huduma za Afya Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni vitaanza kutoa Huduma kwa Kutumia Mfumo wa GOTHOMIS uliounganishwa na Mfumo wa Malipo wa Kielektroniki wa Serikali (GePG) Ambapo Wananchi watachangia Huduma kwa Kutumia namba ya kumbukumbu ya Malipo ( Control number)
@ortamisemi
@wizara_afyatz
@ikulu_mawasiliano
@msemajimkuuwaserikali
@gersonmsigwa
@singidars
@halimadendego
@drmashinjivincent
@anastaziatutuba
@manyonidc
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.