- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
MUHTASARI WA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI WA TAREHE 17 NOV, 2017
Mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, wa siku mbili (2), umemalizika leo tarehe 17/11/2017 kwa wajumbe kujadili kwa kina ajenda zilizoletwa mezani kwa Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.
Ajenda zilizojadiliwa na Mkutano huo ;
1. Kufungua Mkutano.
2. Kusoma na kuthibitisha agenda.
3. Kusoma na kuthibitisha Muhutasari wa kawida wa Mkutano wa Baraza la Madiwani wa tarehe 24 Agosti, 2017.
4. Kupitia yatokanayo na Mkutano wa kawida wa Baraza la Madiwani tarehe 24 Agosti ,2017.
5. Kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa kamati za kudumu za Halmashauri kwa kipindi cha Julai - Septemba,2017.
6. Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha Julai - Septemba,2017.
7. Taarifa ya mpango wa kilimo kwa msimu wa 2017/2018.
8. Taarifa ya maeneo yanayofaa kwa uwekezaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni.
9. Uzinduzi wa Mpango wa kuboresha Elimu Tanzania (EQUIP TANZANIA).
10. Taarifa ya usaili wa nafasi za kazi; Msaidizi kumbukumbu III, Katibu Muhtasi III na Afisa Mtendaji wa kijiji III.
11. Kufunga Mkutano.
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.