- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Serikali imetenga tsh billion 28 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za anwani za makazi na posti kodi zoezi linalotarajiwa kufanyika ndani ya miezi mitatu ijayo yaani mwezi march,apliry,na mei 2022
Hayo yameelezwa februari 21/2022 na Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Kundo Mathew Wilayan ya Manyoni akiwa kwenye ziara ya kukagua ujenzi wa mradi wa Mkongo wa Mawasiliano ulijengwa kwa gharama ya tsh bilion 2.6
Akizungumza na Viongozi mbalimbali katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya Manyoni Mathew amesema kuwa sambamba na kukagua mkongo huo wa mawasiliano kuna zoezi la anwani za makazi na posti kodi lakini pia sensa ya watu na makazi Naibu Waziri amesema kuwa matukio hayo makubwa mawili yanafanana hivyo yanapaswa kusimamiwa na kufanyiwa kazi kwa fasaha
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.