- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mbunge Dkt Pius Chaya akipatiwa chanjo na muuguzi kutoka
hospital ya Wilaya Ya Manyoni
Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Dkt Pius Chaya mapema leo ameongoz a wananchi wa Wilaya ya Manyoni kupata chanjo ya uviko 19.
Dkt Chaya amesema kuwa hakuona sababu ya kuchanja chanjo hiyo Bungeni aliona ni vyema aje achanje pamoja na wananchi wa Jimbo lake ili kutoa hamasa kwa wananchi.
Dkt Chaya amesema kuwa chanjo ya uviko 19 ni salama na haina madhara yoyote kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa na baadhi ya watu ikiwa ni njia ya kupotosha umma.
“ndugu zangu wana Manyoni niwambie kuwa corona ipo tunafahamu hilo hivyo hatuna sababu ya kukwepa chanjo
Kwa maelezo zaidi bofya hapa chini
WANANCHI WILAYA YA MANYONI WAMUUNGA MKONO DKT CHAYA.docx SSSS.docx
HALMASHAURI YA WILAYA MANYONI
Sanduku la Posta: S.L.P 60 MANYONI
Simu: +255 26 2540136
Namba ya Simu: +255 26 2540136
Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz
Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.