Imewekwa Mtandaoni mnamo: November 10th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahabu Mwagisa amewataka wananchi kuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo kwani jukumu la kuleta maendeleo ni letu sote." Kila mmoja ajue kwamba anapaswa kushiriki shughuli ...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: November 9th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahabu Mwagisa ameendelea na ziara yake tarehe 08 Novemba 2022 katika kitongoji cha chang'ombe ambapo amefanya mkutano wa hadhara kusikiliza na kutatua kero za wananchi ha...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: November 4th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahabu Mwagisa ametoa agizo hilo kwa Afsa Maendeleo wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kuhakikisha anatembelea vikundi vya kina mama na vijana wajasiriamali wanaofanya bi...