Imewekwa Mtandaoni mnamo: September 22nd, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Benilithi Mahenge amewapongeza wananchi wa Kijiji cha maweni kwa kujitoa kujenga zahanati ya Kijiji. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa zahanati hiyo terehe 21/2/2021 ...