Imewekwa Mtandaoni mnamo: August 25th, 2023
BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Manyoni, limemchagua diwani wa Kata ya Nkonko, Mhe. Ezekiel Samwel Ezekiel , kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa halmashauri hiyo, kwa kipindi cha mwaka wa fedha 20...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: August 18th, 2023
Kamati ya Fedha Ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mhe. Haruna Chimanga imetembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo
.Miradi iliyotembelewa na kukaguli...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: August 2nd, 2023
Mafunzo haya yametolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Raisi-TAMISEMI kupitia programu ya Shule Bora katika ukumbi ...