Imewekwa Mtandaoni mnamo: November 23rd, 2022
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni anaendelea kuwatakia Mtihani mwema Kidato cha NNE mpaka pale watakapomaliza Mitihani hiyo tarehe 02 Disemba 2022....
Imewekwa Mtandaoni mnamo: November 18th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahabu Mwagisa Amewataka watumishi wa Afya kuwa waadilifu katika kazi zao na kwa uchache wao basi wafanye kazi kwa bidii, Ameyasema haya tarehe 17 Novemba 2022 alipofanya ...
Imewekwa Mtandaoni mnamo: November 14th, 2022
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Ndg Fadhili Chimsala anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa Form four Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni na Tanzania nzima....